Habari za kusitua sana gazeti asubuhi hii limesomwa likieleza kuwa Twiga wamo hatarini kutoweka ,asilimia 20 ya twiga wafyekwa kila mwezi,huyu maige si ndie aliyekataa wazo la Raisi kutumia jeshi kulinda wanyama,nadhani Raisi atakuwa amepata taarifa za gazeti hilo na aone sasa waziri wake anamsaidiaje,yeye amebaki akisema eti wanafanya utafiti watakapo maliza utafiti na Twiga Duma Simba Tembo na wanyama wengineo watakuwa wamekwisha,Maige atabaki na masuti yake anachekacheka kazi kuchanganya kiswahili na kiingereza kibovu kwenye maelezo yako,Maige amka acha ujinga wanyama wanaisha

Wewe unaposoma habari huichunguzi kwanza. Kwa hesabu ya 20% ni chini ya mwaka mmoja watakwisha!Habari za kusitua sana gazeti asubuhi hii limesomwa likieleza kuwa Twiga wamo hatarini kutoweka ,asilimia 20 ya twiga wafyekwa kila mwezi,huyu maige si ndie aliyekataa wazo la Raisi kutumia jeshi kulinda wanyama,nadhani Raisi atakuwa amepata taarifa za gazeti hilo na aone sasa waziri wake anamsaidiaje,yeye amebaki akisema eti wanafanya utafiti watakapo maliza utafiti na Twiga Duma Simba Tembo na wanyama wengineo watakuwa wamekwisha,Maige atabaki na masuti yake anachekacheka kazi kuchanganya kiswahili na kiingereza kibovu kwenye maelezo yako,Maige amka acha ujinga wanyama wanaisha