Kuna shule zina Mazingira ya hovyo, kuna vijiji havina umeme, maji, kuna wagonjwa Hata mlo mmoja hawawezi kuafford, kuna barabara hazipitiki n.k Lol!
Huu ndo uwezo wa CCM, B700 October wakatiki na akili zako.
Wananchi tusipochukua maamuzi ya kibabe kuwatoa hao matapeli kwenye system, safari itakua long story kufika nchi ya Ahadi!