Maiko Bande: Magari ya washawasha yabadilishwe kuwa magari ya fire.

Maiko Bande: Magari ya washawasha yabadilishwe kuwa magari ya fire.

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Nchi hii ni ya Amani,

Magari ya washawasha ni mengi kuliko magari ya zimamoto.

Akichangia katika kipindi cha malumbano ya hoja mchangiaji huyu amesema inashangaza kuwa na magari ya washawasha mengi nchini yasiyokuwa na matumizi.
 
Washawasha ni washawasha na zimamoto ni zimamoto hata utengenezaji zake ni tofauti kuanzia muonekano na vingine

Labda tuyageuze kuwa magari ya maji taka
 
Yale magari atajua kazi yake nini siku atakapojikoroga.
CCM mbere kwa mbere.
Hawa polisi tunaowaita wezi na wavivu siku ukiua mtu ndipo utajua kuwa wako macho 24/7/365.
 
Nchi hii ni ya Amani,
Nagari ya washawasha ni mengi kuliko magari ya zimamoto.

Akichangia katika kipindi cha malumbano ya hoja mchangiaji huyu amesema inashangaza kuwa na magari ya washawasha mengi nchini yasiyokuwa na matumizi.
Adui namba Moja wa nchi yetu ni CCM, hayo magari aliyaleta kwa ajili ya kuwawasha CHADEMA. Nchi hi inaendeshwa kwa misingi ya uhasama, chuki na uadui
 
Adui namba Moja wa nchi yetu ni CCM, hayo magari aliyaleta kwa ajili ya kuwawasha CHADEMA. Nchi hi inaendeshwa kwa misingi ya uhasama, chuki na uadui
Kwa hiyo na chadema wakinunua magari yawashawasha amani itakuwepo
 
Kwa hiyo na chadema wakinunua magari yawashawasha amani itakuwepo
Tanzania imekuwa ni nchi ya Amani kabla hate hayo magari hayajanunuliwa. Nia ya Kikwete kununua magari hayo kwa billion 700, ilikuwa kujineenesha yet binafsi na maafisa wachache, pili ilikuwa kuwaadhibu CHADEMA.

Magari hayo yaliletwa yakiwa yametembea kilometa kibao tofauti na kanuni ya manunuzi ya serikali inayotaka magari yanunuliwe yakiwa 0km
 
Back
Top Bottom