Maimartha amjibu Mange Kimambi kama Kweli anajiamini aje TZ.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Baada ya Mange Kimambi kumtukana Maimartha ,Mai na yeye amejibu mashambulizi kwa kumtupia dongo Mange.

Mai ameandika "I'm living my best life in Dar as salaam" akimaanisha kwamba Mange Kimambi anajifanya mjanja hali ya kuwa anaishi maisha ya kuruka ruka nchi za watu , hivyo kubishana na mtu ambaye hata sehemu anayoishi anaishi kimazabe mazabe ni kupoteza muda tu.

Hapa ninasubiria kwa hamu nione Mange atajibu nini.
IMG_20190129_182442_366.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1008009

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada alaaniwe kwa kuwafundisha wadada kutinda sigi/nyusi yaani kama jini,kajichubua vibaya.
 
Baada ya Mange Kimambi kumtukana Maimartha ,Mai na yeye amejibu mashambulizi kwa kumtupia dongo Mange.

Mai ameandika "I'm living my best life in Dar as salaam" akimaanisha kwamba Mange Kimambi anajifanya mjanja hali ya kuwa anaishi maisha ya kuruka ruka nchi za watu , hivyo kubishana na mtu ambaye hata sehemu anayoishi anaishi kimazabe mazabe ni kupoteza muda tu.

Hapa ninasubiria kwa hamu nione Mange atajibu nini.
View attachment 1008009

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli ni bogus kabisa

Sasa kwa mfano wewe ukipiga picha ukaandika am just leaving my life here in koromije mana ake unamjibu jirani yako mliegombana?
Mbona unajaribu kuunganisha dots lkn haziunganiki?
Au ulitaka mada yako tuichangie kama hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom