Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Huyu dada alaaniwe kwa kuwafundisha wadada kutinda sigi/nyusi yaani kama jini,kajichubua vibaya.Baada ya Mange Kimambi kumtukana Maimartha ,Mai na yeye amejibu mashambulizi kwa kumtupia dongo Mange.
Mai ameandika "I'm living my best life in Dar as salaam" akimaanisha kwamba Mange Kimambi anajifanya mjanja hali ya kuwa anaishi maisha ya kuruka ruka nchi za watu , hivyo kubishana na mtu ambaye hata sehemu anayoishi anaishi kimazabe mazabe ni kupoteza muda tu.
Hapa ninasubiria kwa hamu nione Mange atajibu nini.
View attachment 1008009
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumekucha ... yule domo kubwa akiamka atamchamba mpaka marehemu bibi mzaa bibi yake mzaa mama yake maimatha
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah huyo manzi ana kera aise ... kama amezaliwa chooni !!!Ni vizuri maana mwisho wa siku atakosa cha kumtishia. Siku hizo haogopwi anakula za uso kila kona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumekucha ... yule domo kubwa akiamka atamchamba mpaka marehemu bibi mzaa bibi yake mzaa mama yake maimatha
Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kuotandio kazi yako kufatilia huu ujinga? ningekuwa raisi watu kama nyie nawasweka ndani
Sent from my iPhone using JamiiForums
vipi?Dah we jamaa [emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Team Mange ikiongozwa na Carrymastory imeshaanza kuchanika chanika.Ni vizuri maana mwisho wa siku atakosa cha kumtishia. Siku hizo haogopwi anakula za uso kila kona
Una vitu adim mkuu
Acha uchawi unaifahamu laana au unatamka kama unakula magimbiHuyu dada alaaniwe kwa kuwafundisha wadada kutinda sigi/nyusi yaani kama jini,kajichubua vibaya.
Laana ya kutembea na baba yake mzazi hiyo.
Duhh .!!!. hivi baba yake alishawahi kumkula kweli !?Laana ya kutembea na baba yake mzazi hiyo.
Huyo Mange alishawahi kumdhalilisha mtandaoni mtoto wake wa kumzaa (Bhoke) mpaka huyo mtoto akaone bora akaishi kwa baba yake tu kuliko kuendelea kukaa na Mange.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli ni bogus kabisaBaada ya Mange Kimambi kumtukana Maimartha ,Mai na yeye amejibu mashambulizi kwa kumtupia dongo Mange.
Mai ameandika "I'm living my best life in Dar as salaam" akimaanisha kwamba Mange Kimambi anajifanya mjanja hali ya kuwa anaishi maisha ya kuruka ruka nchi za watu , hivyo kubishana na mtu ambaye hata sehemu anayoishi anaishi kimazabe mazabe ni kupoteza muda tu.
Hapa ninasubiria kwa hamu nione Mange atajibu nini.
View attachment 1008009
Sent using Jamii Forums mobile app