Wakuu wana JF,
Hivi huyu celebrate wetu, mtoto K'ndoni pale, ni yeye kweli au anatumia mchina siku hizi? Hivi mnauonaje unene alionao kwa sasa maana tofauti sana na alivyokuwa pale EATV, au maana toto ametoka ile mbaya na bonge ya jimama! mliokuwa siku ya Kili Music Awards pale ndani mtakuwa mashahidi
Mwenye picha current atuletee hapa jamvini! au anatumia ...... hahaha!
Weupe ungekuwa deal ubuyu usingepakwa rangiMambo ya mkorooogz
Dogo matokeo ya mtihani si yametoka ? huyu maimatha 'anacheza premier league' humuwezi tafuta wa saizi yako utakapoingia chuo,cheers.Wakuu wana JF,
Hivi huyu celebrate wetu, mtoto K'ndoni pale, ni yeye kweli au anatumia mchina siku hizi? Hivi mnauonaje unene alionao kwa sasa maana tofauti sana na alivyokuwa pale EATV, au maana toto ametoka ile mbaya na bonge ya jimama! mliokuwa siku ya Kili Music Awards pale ndani mtakuwa mashahidi.
Mwenye picha current atuletee hapa jamvini! au anatumia ...... hahaha!
Weupe ungekuwa deal ubuyu usingepakwa rangi
Mambo ya mkorooogz
kama pesa yake aliyo itolea jasho
inafanya kazi ... kuna shida gani???
...
Umenena mwanawane. Lakini kuitolea jasho!! Unamaanisha nini?
mbona wengi wenu hamjamuelewa mtoa mada??...anaulizia ongezeko la ukubwa wa mwili wa maimatha na hasa sehemu za makalio kama katumia dawa za kichina?...mie namfahamu mai..anatoa ndogo kwa msela wangu m1 ...toka basha ake pdidy afariki msela wangu akakamata daiwaka na shorry hapindui msela akaanza kukamua ndogo na duu akaona aji-boost kuongeza VAT.... hayo ndo nayoyafahamu kwa kiasi cha ufukunyuku wangu.[/Q
mmmmmmhh
too much info
umetupa story nyingine..:A S-confused1:
we ngoja wale wa "source" waje wakuulize