Maimartha ni orijino au mchina huyo??

mhh jamani!
 

Hahahahahahahahah
 

Aaaah!! kumbe ndio siri yake? Asante!
 

hulipwi kumdhalilisha dada wa watu humu...
 
huyo ni juu yake kama mchina au vipi kwasababu ni mwanamke, ungeuliza Ben kinyaiya, mchina au original?
 

Watu wengine hamfai hata chembe, hayo unayoeleza unaweza kusimama mahakamani ukayathibitisha kwa ushahidi? omba radhi mara moja kabla hatuja kutrace thro profile and IP
 

Picha ya nini anatumia mkorogo wa Idrisa pale magomeni kama unaitaji kaulizie utaupata!
 

picha ya nini unataka kupiga puchuuu
 
Watu wengine hamfai hata chembe, hayo unayoeleza unaweza kusimama mahakamani ukayathibitisha kwa ushahidi? omba radhi mara moja kabla hatuja kutrace thro profile and IP

sidhani kama serikal ye2 imeanza kukamata uovu au kashfa za mtandaon.. maana kama ndo ivo bas instagram wangekamatwa wengi!! labda maimartha mwenyewe atume vibaunsa vimteke kijana wetu.
 

Mabinti wa mjini kila kitu fake aisee, mi ndio maana napenda kumuona humu Heaven on Earth na rangi yangi yake ya asili,.Dah yaani kitu adimu hii, so cute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…