warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
mbali na kuanika mahusiano yake ya kimapenzi na ray,na jinsi chuchu hans na johari walivyomuingilia kwenye penzi lake na aliyekuwa my ex number one wake, baadhi ya watu wameanza kumtishia maisha kama akiendelea kutoboa siri nyingine ambazo ameahidi kuzitoa. " Ninachoweza kuwaambia ni kwamba nipo tayari kufa kwenye mapambano,sitaogopa chochote,kwanza sijaona chochote kibaya nilichoongea,bado nina mambo mengi zaidi ya hayo". alisema mainda kwa kujiamini.