Wanawake huwa hawana dini ya kudumu!Aliniudhi alipobadili dini
Mwanaidi sasa Ruth
Aliniudhi alipobadili dini
Mwanaidi sasa Ruth
hajaolewa bali ameokoka.kwani kaolewa?
unapotosha alisema yuko tayari kufa kwa kusema ukweli bila kuogopa kumbuka alisema madudu na uchafu wa bongo movies. akaanza kupata msg za vitisho.
badilisha kichwa cha habari
Kwani anaposema haogopi chochote,yupo tayari kufa kwenye mapambano,chanzo cha ugomvi ni nani?,bongo movie unity au ray??,anapambana na nani na ili iweje?? Apo nadhan mtakuwa mmeelewa kwa tafsir nyingine kuwa yupo tayar kufa kwa ajili ya ray,kama utakuwa una upeo wa ziada na mweny uwezo wa kufikir kwa utashi@HEAVEN ON HEARTH and MONEY STUNA
Wanawake huwa hawana dini ya kudumu!