Mkuu kifo hakikwepekhNani atachangia Uzi wako huu?? Hivi Unawajua wana J.f wanavyoogopa hayo mambo ya kifokifo......
Hahhh mkuu kifo ni sehem ya mzunguko wa maisha ya mwanadamNani atachangia Uzi wako huu?? Hivi Unawajua wana J.f wanavyoogopa hayo mambo ya kifokifo.....
iSiku unayokufa ndio mwisho wako.Ila ni bora ukaamini tu kua Mungu yupo ili likitokea la kutokea unakua uko kwenye safe zone.(kaa humu)
hakika mkuu wengi tunaamini hivyo.Siku unayokufa ndio mwisho wako.Ila ni bora ukaamini tu kua Mungu yupo ili likitokea la kutokea unakua uko kwenye safe zone.(kaa humu)