Maisha baada ya kutia nia Ubunge

Maisha baada ya kutia nia Ubunge

Janjawid

Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
93
Reaction score
185
Hakika maisha baada ya kutia nia ubunge, yatakuwa magumu sana kwa watia nia wengi ehee Mungu wasaidie watia nia wote maana wengine maisha yao yatabadilika kutoka uchumi wa kati hadi umaskini totoro
 
Hiii inawezekana kabisa unajuwa Mana tunakoelekea nikubaya sana
 
Back
Top Bottom