J Janjawid Member Joined Jul 15, 2020 Posts 93 Reaction score 185 Jul 18, 2020 #1 Hakika maisha baada ya kutia nia ubunge, yatakuwa magumu sana kwa watia nia wengi ehee Mungu wasaidie watia nia wote maana wengine maisha yao yatabadilika kutoka uchumi wa kati hadi umaskini totoro
Hakika maisha baada ya kutia nia ubunge, yatakuwa magumu sana kwa watia nia wengi ehee Mungu wasaidie watia nia wote maana wengine maisha yao yatabadilika kutoka uchumi wa kati hadi umaskini totoro
A Abdul Mganyizi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2019 Posts 1,042 Reaction score 2,005 Jul 18, 2020 #2 Kwanini iwe hivyo mkuuu?
aly aly Member Joined Sep 6, 2019 Posts 83 Reaction score 65 Jul 18, 2020 #3 Hiii inawezekana kabisa unajuwa Mana tunakoelekea nikubaya sana