Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Lengo ni kwa watu wote watende yaliyo mema kila siku.Ujumbe mzuri lakini nadhani ungelenga kwa makundi yote. Hapa nadhani umelenga kwa waislam tu maana ndio wanafunga Ramadhan.
Amen.Umesema majambo mema mzee mkoloni,sema nini watu tumeshupaza shingo zetu tuu tunajua sana tunapaswa kuishi namna gani hapa duniani,. inshallah Mungu atujalie neema,