Maisha baada ya Uber na Bolt

Maisha baada ya Uber na Bolt

Mowwo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2015
Posts
1,083
Reaction score
1,628
Wakuu habari
Kama wengi tulizoea kutumia huduma za Bolt au Uber katika kuingiza kipato. Ningependa kufahamu baada ya hizi app mbili maarufu kusitisha huduma maisha yanasongaje kwa kutumia app zingine?
App ama Paisha, Tantax, Indrive,Little Ride,Taxify....nk zina faida nzuri? Au watu hawajazizoea?
Ningependa kupata uzoefu kuh hizi app nyingine kama faida ni nzuri endapo mtu atataka kufanya kwa sasa.

NB: Naulizia upande wa magari

Natanguliza shukrani.
 
Kama mteja kwa hapa Arusha naona indrive inafaa so kama inapatikana na hapo mjini dasramu basi ndg dereva ingia hapo fasta nitakuwa mteja wako siku nikija mjini!
 
Back
Top Bottom