Maisha bila hazard Chelsea

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Baada ya hazard kuondoka Chelsea baadhi ya watu wanasema Chelsea inayumba me kidogo nitakuwa tofauti na wao kwangu me mchezaji muhimu Sana kwa Chelsea Ni ngolo kante na ni mara chache Sana kante chini ya kiwango Ila nimeona mara nyingi hazard akiwa chini ya kiwango.chelsea inapokuwa na kante inakuwa ya tofauti Sana na anaposekana Chelsea inayumba kwelkwel compare to hazard nikisoma daily mail walitoa takwimu imeonesha mechi alizokosa kante imeongoza kwa kupoteza Sana zaidi alikosa hazard hata ukiangalia pia takwimu za hazard tangu yupo Chelsea hakuna hata msimu mmoja amefikisha goal 25 kwa michuano yote lkn pia hata Kwenye list ya wachazaji waliowahi kuichezea Chelsea wenye magoal mengi + assist nyingi ameshika nafasi ya tisa japo kacheza miaka 7 chelsea.kwa maana ya kusumbua mabeki na kuichezea mpira jamaa Ni best.Juan mata kwa kipind alichokuwa Chelsea alikuwa Kila msimu anafikisha magoali 25+ na amekuwa Bora zaidi ya hazard kwa muda wote waliokuwa wanacheza pamoja.kwa wachazaji walionao Chelsea wanauwezo kufanya kazi km hazard mfano wachazaji kama willian,pulisic,Pedro na odoi kuliko angeondoka Kante Chelsea wangeyumba Sana cos hakuna mchezaji Chelsea mwenye uwezo wa kuvaa kiatu Cha kante na hata pia mtu Kama kante kwa vilabu vingine Ni ngumu sana.kwa Sasa kwangu kante Ni kiungo Bora wa ukabaji duniani kwa Sasa so kupata mbadala wake Ni ngumu.chelsea ni bado Ni timu nzuri km wakipata kocha atakae waunganisha lakini pia kumrudisha kante kwenye nafasi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…