Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Kubali kwanza tuweke mkakati wa kwenda huko, si unataka kuthibitishiwa ?Mimi madai yangu ni yapi?
Wewe si ndiye ulikuwa unadai ulimwengu wa roho upo?
Mimi nika kwambia haupo, kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ulimwengu huu huu unao onekana.
Hata hilo eneo la Gamboshi lipo kwenye ulimwengu huu huu unao onekana.
Sasa wewe unataka kutafuta usafiri kunipeleka kwenye ulimwengu gani tofauti na huu huu unao onekana?
.Mada ni hii hapa
'Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha'
Huko tunakwenda kwenye ulimwengu huu huu unao onekana na kuthibitishika upo.Kubali kwanza tuweke mkakati wa kwenda huko, si unataka kuthibitishiwa ?
Inaonekana una tatizo la uelewa, Gamboshi inajulikana ipo mkoa upi na wilaya ipiHuko tunakwenda kwenye ulimwengu huu huu unao onekana na kuthibitishika upo.
Hatuendi kwenye ulimwengu wa roho.
Kujua tu "Location" tunakwenda sehemu fulani, Tayari hapo ni ndani ya ulimwengu huu huu unao onekana
Wala si ulimwengu wa roho tena.
Kijiji Gamboshi, wilaya Bariadi mkoani Simiyu nchini Tanzania.Inaonekana una tatizo la uelewa, Gamboshi inajulikana ipo mkoa upi na wilaya ipi
Haya mengine unayoyaandika ni kupotezea swala ambalo nasuggest
The fear of responsibilityHabari wana-JF!
Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.
Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.
Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.
Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.
Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:
1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.
2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.
3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.
4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.
5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.
6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.
7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.
8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.
9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.
10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".
Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.
Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.
The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃
Lengo la kwenda kule, ni tuonane na wazee wa pale Gamboshi kuna kazi nataka watusaidie ili wewe ujue kuwa kuna mambo mengi usiyoyafahamu kuhusu ulimwengu, Kiufupi ukashuhudie mambo mapya unayoelezwa na ambayo hujawahi kuelezwa popoteKijiji Gamboshi, wilaya Bariadi mkoani Simiyu nchini Tanzania.
Haya huo ulimwengu wa roho upo wapi?
Eleza "location" ya huo ulimwengu wa roho?
Mstari wa ikweta una rangi gani? Au sio imaginary?Atheist 24:2
Mpumbavu amesema moyoni mwake kuna Mungu maana anaamini vitu vya kufikirika visivyo na uthibitisho wowote ule wala uhalisia.
Kwa waanzilishi wa earthiesm sio wazungu? Una uhakika gan hujadanganywa?Hii nukuu aliandika mzungu gani?
Hii Nongwa Sana MkuuDuh! Maji ndo kitu Cha kumyima MTu!😂
Kila kitu ni maarifa tu including uchawi,so kama huna maarifa ya uchawi hutoboiGamboshi sio ulimwengu wa roho.
Gamboshi ni eneo katika ulimwengu huu huu unao onekana na kuthibitishika upo.
Huelewi yanayotendeka Gamboshi kwa vile huna maarifa nayo. Ndio maana unadai Gamboshi ni ulimwengu wa roho.
Wana Gamboshi wenye utaalamu wao wanajua maarifa wanayotumia kwenye ulimwengu huu huu unao onekana ambayo wewe huna hayo maarifa ndio maana unadai kwamba ni ulimwengu wa roho.
Hakuna cha ulimwengu wa roho, sema wewe huna maarifa ya watu wa Gamboshi wanawezaje kufanya vitu kwenye ulimwengu huu huu unao onekana mpaka wewe unabaki kushangaa.
Kila kitu ni maarifa tu, Hakuna uchawi.
Kuna kuamini Dini, Kuna kuamini MunguAise ELON MUSK alivyoulizwa kuhusu dini yake this is what he said
“Well, my religion, for the lack of a better word, is one of curiosity, where we want to expand the scope and scale of consciousness on Earth and beyond Earth,” he said. “And in order to do that, we need to increase the number of conscious beings, and we need to advance technology, such that we can have a self-sustaining city on Mars, ultimately populate the whole solar system, and then go beyond our solar system to other star systems. And therefore, we need more humans. Pretty simple.”
Sasa TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI, kabarikiwa FEDHA ZOTE HIZO ANASEMA WAZI KUWA HANA DINI KABISA NA HAAMINI KATIKA HAYO KAMA KWELI MAMBO YANATOKEA KWANINI ASIADHIBIWE AWE MASKINI KULIKO WOTE ? SABABU DUNIANI HAKUNA KITU KIBAYA KAMA UMASKINI AISEE
Haamini pia mfano bil ni RC ila hataki kusikia hizo habari ni nomaaKuna kuamini Dini, Kuna kuamini Mungu
Hizi ni concept mbili tofauti, Tafuta na mahojiano alipoulizwa kuhusu Mungu
Okay, Tujadili hii clip fupiHaamini pia mfano bil ni RC ila hataki kusikia hizo habari ni nomaa
Mkuu “i believe there some explanation about this universe that you might call God “ kama sijakosea, jamaa hana uhakika ? He is not sure huwez sema you might call God, wakati Mungu ni Mungu masta, alafu this is just a short part of the whole thing nikiipata yote ntaweza kuisemea ila jamaa haamini ishue za MunguOkay, Tujadili hii clip fupi
Alikua anamaanisha nini hapa ? unaweza kudadavua
😂😂😂😂😂😂😂Hiz pombe za kisungura zanaharb watu