Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Bil Gates is atheist and agonistic sasa kwanini hawa jamaa wabarikiwe ivi ? Kwanini Mungu awapendelee watu ambao hawaamini kama yeye yupo ? I just dont understand these things
There is a reason for everything/every being. But forcing it to be called god is the great hoax.

We need to understand that there is a non human being power behind the existance of all we see (nature) but forcing people to believe that it is god or mungu or allah or anything is beyond stupidity.
 
Kama kuna maelezo yapo aliyowahi kutamka moja kwa moja kuwa HAAMINI ni vyema ukaleta hapa chief
 
Kwa hiyo hell ipo?
 
Ndio unaanza mzunguko wa kuielewa dunia hii mimi sitakuambia chochote wewe endelea kujifunza UKWELI wa mambo, ila remain open minded.
 
Pamoja na wewe kumkana Mungu bado kwa rehema zake ndiye Yeye anayekupa Uzima na nguvu ya kutafuta hayo uliyonayo!
Unachotakiwa ni kukana mafundisho potofu lakini siyo kukana kwamba Mungu hayupo!
Mungu yupo alikuwepo na ataendelea kuwapo!
 
Pamoja na wewe kumkana Mungu bado kwa rehema zake ndiye Yeye anayekupa Uzima na nguvu ya kutafuta hayo uliyonayo!
Unachotakiwa ni kukana mafundisho potofu lakini siyo kukana kwamba Mungu hayupo!
Mungu yupo alikuwepo na ataendelea kuwapo!
Hakuna Mungu anayetoa Uzima wala nguvu kwa kiumbe chochote.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe na kujiongelea mwenyewe yeye kama yeye.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea Mungu ambaye hajawahi kuwepo wala hayupo kujiongelea na kujidhihirisha mwenyewe.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Lengo la kwenda kule, ni tuonane na wazee wa pale Gamboshi kuna kazi nataka watusaidie ili wewe ujue kuwa kuna mambo mengi usiyoyafahamu kuhusu ulimwengu, Kiufupi ukashuhudie mambo mapya unayoelezwa na ambayo hujawahi kuelezwa popote
Hayo mambo yote yapo kwenye ulimwengu huu huu.

Kwenye ulimwengu huu huu kuna mambo na vitu vingi sana ambavyo sisi binadamu hatuvijui bado.

Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi na udadisi zaidi.

Kwa hiyo ulimwengu ni huu huu mmoja ambao bado tuna endelea ku uchunguza na kuujua vizuri.

Hakuna ulimwengu mwingine unaoitwa wa roho tofauti na huu huu.
 
Pamoja na wewe kumkana Mungu bado kwa rehema zake ndiye Yeye anayekupa Uzima na nguvu ya kutafuta hayo uliyonayo!
Unachotakiwa ni kukana mafundisho potofu lakini siyo kukana kwamba Mungu hayupo!
Mungu yupo alikuwepo na ataendelea kuwapo!
Hiyo ni imani yako tu. Hakuna ushahidi kuwa Mungu ndiyo ananipa uzima.

Nikikana mafundisho ya dini zote tayari nimemkana Mungu. Hata wewe umemjua huyo Mungu unayedai yupo kupitia dini.
 
Atheist 24:2,
Mpumbavu amesema moyoni mwake kuna Mungu kwa sababu anaamini vitu vya kufikirika visivyo na uthibitisho wala uhalisia wowote ule.
Mwelezee mungu huyo nje ya vitabu vyako vya dini,utashangaa kugundua hakuna mungu nje ya vitabu vyenu hivyo mlivyoandikiwa na wajanja
 
Wengi wataingia jehanamu kwa mlango wa dini, na wengi wataingia mbinguni kupitia dini.
 

Sasa kama umepatana na shetani upinzani utatoka wapi? Ila mazara yake utayaona baadae!
 
Hongera yamkini kuna uliloliona chini ya Jua ambalo halijakupendeza ambalo lingekusababisha usimwone Mungu ila Mungu yupo Mithali 8:17 Nawapenda wale wanipendao na wale wanitafutao kwa bidii wataniona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…