Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Hautapata nafuu yoyote kwa kuamini tu yupo halafu kweli akawepi kama hautashika na kuishi mafundisho ya dini yako.
Yani jamaa anaamini Mungu anajua yote.

Halafu pia anaamini kwamba yeye anaweza kumtapeli Mungu aingie mbinguni kiujanjaujanja wa kubetibeti tu 🤣🤣🤣

Mpaka hapo kashatuambia haamini Mungu yupo, anabeti tu.
 
Yqni jamaa anaamini Mungu anajua yote.

Halafu pia anaamini kwamba yeye anaweza kumtapeli Mungu aingie mbinguni kiujanjaujanja wa kubetibeti tu 🤣🤣🤣

Mpaka hapo kashatuambia haamini Mungu yupo, anabeti tu.
Theists wa bongo inabidi wajifunze sana kuboresha hoja zao, kama hilo swali la nani sijui aliweka sukari kwenye nanasi na miwa ndio huwa la hovyo na unintelligent zaidi lakini linapendwa sana!
 
Theists wa bongo inabidi wajifunze sana kuboresha hoja zao, kama hilo swali la nani sijui aliweka sukari kwenye nanasi na miwa ndio huwa la hovyo na unintelligent zaidi lakini linapendwa sana!
Mimi hilo la sukari niiliangalia nikajua hapa nikijibu naenda kujibizana na ngumbaru ambaye hajajifunza osmosis ni nini.

Nalinda zike cycles zangu za CPU kwa kuchagua nani najibizana naye.

Sina muda wa kujibizana na ngumbaru.
 
Hizo ni Shana zinajengwa kwenye akili Kwa kusikia na kusoma maandishi ya wengine.

Waliotengwbeza dini walikuwa na malengo Yao hususani kufnikisha Utawala na uporaji wa mali za wajinga.
2 Timotheo 2:13 )(
Kama sisi hatuamini, yeye hudumu wa kuaminiwa. Kwa maana hawezi kujikana mwenyewe.
 
Mpumbavu husema hakuna Mungu- maneno ya wahenga katika biblia yenye ukweli mtupu
 
Hautapata nafuu yoyote kwa kuamini tu yupo halafu kweli akawepi kama hautashika na kuishi mafundisho ya dini yako.
Asa wewe unadhani unaweza kuamini bila mafundisho au dini yako mzee
Afu piah sio akawepi ni akawepo
Cha mwisho MUNGU YUPO
 
Alipaa sehemu gani?

Nchi gani? Mkoa gani? Mtaa upi?

Tarehe ngapi? Mwezi upi? Mwaka gani?

Na muda gani exactly aliopaa?
Mwanangu umewakalia kooni, daah me nsichikipenda kuhusu dini badala i unite watu ndio kwanza inaongoza kwa Prejudice, colour discrimination na vitu vyoote ambavyo vipo agaist what is being preached ndio mana nimekuwa nikihoji mambo mengi sana na sipati majibu
 
Mpumbavu husema hakuna Mungu- maneno ya wahenga katika biblia yenye ukweli mtupu
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwapo, kusingewezekana kuwapo na mpumbavu popote.

Ukishaona kuna uwezekano wa mtu kuwa mpumbavu, hilo ni ushahidi Mungu huyo hayupo.

Mtu kuwa mpumbavu katika ulimwengu ambao una Mungu ni mambo mawili yaliyo mutually exclusive.

Ama una mtu mpumbavu katika ulimwengu ambao hauna Mungu.

Au una ulimwengu ambao una Mungu na hauna mtu mpumbavu.

Haiwezekani ulimwengu ambao una Mungu uweze kuwa na mtu mpumbavu.
 
Ulishawahi kwenda huko Tanga na Kigoma au unaandika kwa stori za kahawani!? Mimi nipo kwenye moja ya mikoa hiyo na sijawahi kuona wala kusikia stori hizo! Tatizo lenu mkikaa vijiweni kila mmoja anatafuta stori za kutunga ili kahawa ishuke!
Sio lazima kubisha Kila kitu, sawa?

Yani unataka kuniambia haya mambo unaskia walimu wamejikuta wamelala nje, haya mambo ya misukule, hili suala la kutumia jina la YESU na mapepo yakalipuka, hili suala la watu wanaofahamika rasmi kuwa wamefanya mambo kadha wa kadha ya kiroho yenye uthibitisho kuwa ni story za kwenye kahawa?

Kwani wewe unanijua Mimi?

Na unajua ni kwanini nimemwambia hivyo?

Sio lazima kubisha Kila kitu...
 
Religion is a fictional identity.

Religion is a mental slavery.

Religion is a set of dogmatic rules manipulating weak minds.

Religion is a drug, religious leaders are the dealers their followers are the addicts.

Religion is the training of the mind to ignore facts, evidences, logic and reasoning.

Religion is a programing system for collecting money from people who are unable to think.

Religion is a Scam.
 
Mpumbavu husema hakuna Mungu- maneno ya wahenga katika biblia yenye ukweli mtupu
Wahenga kina nani?

Hao wahenga walisema maneno hayo lini? wapi? Saa ngapi? tarehe ngapi? Mwezi gani? Mwaka gani?

Na muda gani exactly?
 
2 Timotheo 2:13 )(
Kama sisi hatuamini, yeye hudumu wa kuaminiwa. Kwa maana hawezi kujikana mwenyewe.
 
Mithali 18:7 )(
Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake, Na midomo yake ni mtego wa nafsi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…