Maisha bora kwa Mtanzania

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,962
Reaction score
721
Ahadi nyingi zimekuwa zikitolewa na wagombea wa CCM kuwa wataboresha huduma za afya, huku JK naye akisema atapandisha hadhi baadhi ya hospitali kuwa za Rufaa. Huo muda waliokuwa nao walikuwa wapi?

Sasa angalia maisha bora ya Mtanzania katika picha hapa.

 

Attachments

  • HOSP.JPG
    47.1 KB · Views: 38
Dah hawaoni aibu hawa jmni wagonjwa wawili wawili mhh
 
Kwa kweli inasikitisha sana, na hapo katoka kwenye kampeni kuwadanganya wananchi kuwa wakitaka maisha bora wachague chama chao.
 
Tusijali sana kwani wana"URAFIKI MZURI" na wachina ndio maana wametuletea hospitali yao ili tutibiwe kipindi hiki cha kampeni, baada ya hapo tukafie mbele.


 

kweli hali hiii inasikitisha...! usishangae huyo mgombea wa sisiem kaja hapo na V8 tano ziko nje...!
 
Muhimbili Hospitali ya Taifa na ya Rufaa wagonjwa wanalala chini. Hivi kitanda cha kulalia bei gani? Wanafunzi wanakaa chini shule za mkoa wa Dar karibu na ikulu. Dawati shilingi ngapi?.

Chai 30 Bilioni.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unamfunga jela aliyeiba kuku wa 5,000 kwa miaka miwili...kwa siku anakugharimu wastani sh.10,000 times siku karibu 500 ni sh.5,000,000 ambazo ni mara 1,000 zaidi ya thamani ya alichoiba...na unaweza kukuta hawa wezi wachanga wakawa hata 10,000 kwa hiyo ni karibu tshs 50bn/-...je ni vitanda vingapi hapo?(kitanda cha hospitali ni kama tshs 500,000)...laki moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…