Maisha bora kwa mtanzania.

Maisha bora kwa mtanzania.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,956
Reaction score
5,149
Haya watanzania kesho ni uchaguzi na haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania tutafakari na kutumia vyema kura zetu.

daah.jpg
mmh.jpg
 
tatizo linakuja pale ambapo....huwezi mwambia kitu yoyote huyo bibi kuhusu CCM...ni dam dam
 
tatizo linakuja pale ambapo....huwezi mwambia kitu yoyote huyo bibi kuhusu CCM...ni dam dam
dada... hiyo ndio silaha ya fisadi... ujinga, umaskini na maradhi
 
tatizo linakuja pale ambapo....huwezi mwambia kitu yoyote huyo bibi kuhusu CCM...ni dam dam

Asante sana dada Preta nimeshayasema hayo sana tu, CCM nguzo yao ni hawa watu waelimishwe jamani.
 
Back
Top Bottom