St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,956 Reaction score 5,149 Oct 30, 2010 #1 Haya watanzania kesho ni uchaguzi na haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania tutafakari na kutumia vyema kura zetu.
Haya watanzania kesho ni uchaguzi na haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania tutafakari na kutumia vyema kura zetu.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Oct 30, 2010 #2 tatizo linakuja pale ambapo....huwezi mwambia kitu yoyote huyo bibi kuhusu CCM...ni dam dam
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Oct 30, 2010 #3 Preta said: tatizo linakuja pale ambapo....huwezi mwambia kitu yoyote huyo bibi kuhusu CCM...ni dam dam Click to expand... dada... hiyo ndio silaha ya fisadi... ujinga, umaskini na maradhi
Preta said: tatizo linakuja pale ambapo....huwezi mwambia kitu yoyote huyo bibi kuhusu CCM...ni dam dam Click to expand... dada... hiyo ndio silaha ya fisadi... ujinga, umaskini na maradhi
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,956 Reaction score 5,149 Oct 30, 2010 Thread starter #4 Preta said: tatizo linakuja pale ambapo....huwezi mwambia kitu yoyote huyo bibi kuhusu CCM...ni dam dam Click to expand... Asante sana dada Preta nimeshayasema hayo sana tu, CCM nguzo yao ni hawa watu waelimishwe jamani.
Preta said: tatizo linakuja pale ambapo....huwezi mwambia kitu yoyote huyo bibi kuhusu CCM...ni dam dam Click to expand... Asante sana dada Preta nimeshayasema hayo sana tu, CCM nguzo yao ni hawa watu waelimishwe jamani.
mmiy Member Joined Oct 2, 2010 Posts 27 Reaction score 0 Oct 30, 2010 #5 Paka mweusi said: Haya watanzania kesho ni uchaguzi na haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania tutafakari na kutumia vyema kura zetu. Click to expand... Jamani hicho kibibi hakijala siku ngapi?
Paka mweusi said: Haya watanzania kesho ni uchaguzi na haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania tutafakari na kutumia vyema kura zetu. Click to expand... Jamani hicho kibibi hakijala siku ngapi?