Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hivi unadhani kuna bei tofauti ya bidhaa kutegemea ulimchagua nani.........??? Kwani Slaa alipata kura sifuri kule Songea.........??? Waliomchagua Slaa mnawasadidiaje....???? Mngeebda kuwasaidia kulinda kura ningewaelewa............Halafu hawa hawa ndo waliompa Kikwete kura za kishindo? whats up?
Hivi unadhani kuna bei tofauti ya bidhaa kutegemea ulimchagua nani.........??? Kwani Slaa alipata kura sifuri kule Songea.........??? Waliomchagua Slaa mnawasadidiaje....???? Mngeebda kuwasaidia kulinda kura ningewaelewa............
JAMANI KWANI KAMA MNAITAKIA MEMA TANZANIA SI MFANYE MFUKO UWE 2300 KULIKO KWA SHARTI MPAKA MPATE URAIS?.......kwani haiwezekani?
Kweli nyani haoni kunduleeee................ yaani wewe kununua mahindi milioni mbili unaona sawa kwa vile uwezo unao........????? nA HAO WASIO NA UWEZO HUO NA WALIMCHAGUA Dr. Slaa wafanye nini..........???? SHAME ON YOU, SIMPLY BECAUSE YOU CAN....THEN YOU LET OTHER TO SUFFER....... FAKE MWANAMAPINDUZI...............Unadhani huko Songea hakuna wenye uwezo wa kununua cement kwa bei hiyo........???? Tatizo wenye mawazo kama yako huwa wanatanguliza maslahi binafsi MBELE ........ndiyo maana UNATHUBUTU KUSEMA UWEZO UNAO...........FAKE MWANAMAPINDUZI..................