STREET children take a nap under a tree shade along Garden Avenue near the PPF Towers in Dar es Salaam on Thursday. The ever increasing number of street children and beggars in the city is a matter of national concern. (Photo by Robert Okanda)
Hawa wako radhi kulipa kampuni hewa ya DOWANS lakini inapokuja masikini hoehae utawakuta huwatupia makombo tu siku za sikukuu tena kwa kuwachagua wale ambao wako kwenye majumba hawa wa mtaaani hawataki hata kuwafikia......................................
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" valign="top" align="center">THE National Chairman of Chama Cha Mapinduzi (CCM), President Jakaya Kikwete, chairs a meeting of the Party's Central Committee (CC) at the State House in Dar es Salaam on Thursday. (Photo by Ramadhan Othman)</td></tr></tbody></table>
haki huinua yaifa, bali dhambi ni aibu ya watu wowote, hata dowans ikilipwa, bado taifa halitainuka hadi serikali imewatendea haki raia wake, vinginevyo dhambi inatuotea milangoni mwetu na aibu hizi zitatuandama siku zote