Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Picha kwa hisani ya Mroki Mroki http://www.mrokim.blogspot.com/
Jamaa wakimfariji Bi. Hellen. Club ahiyo hivi karibuni ilifanyiwa ukarabati mkubwa uliogharibu ma milioni ya shilingi za Kitanzania.
Jengo la Cluba Maisha likionekana baada ya kuteketea kabisa kwa moto uliosababisha na hitilafu ya umeme.
Mmiliki wa Club Maisha mama Hellen Sweya akiwasiliana na baadhi ya jamaa zake juu ya kuungua kwa Club yake hiyo leo.
Ajali kama hii ikitokea,watu wote wanasikitika. Lakini swali moja hapa la kuuliza,ni kwamba, kuhusu hizi ajali za moto,how do we compare,for example ,wtih Kenya? Ajali za moto hapa zinatokea vipi ukilinganisha na Kenya au na nchi zingine?
Kwa sababu,hili ni swali ambalo aliuliza Mbunge Islam,mbunge wa CCM[nadhani],kwamba,''Mbona hizi ajali za moto zimezidi?'' Kwa sabau,kwa maoni yangu,wataalamu wa umeme,kama vile Tanesco,wana wajibu,wana jukumu la kuwaonya raia kuhusu matatizo kama haya.
Kuna ajali za moto za vibatali na mishumaa,hilo ni swala tofauti kabisa,hapa tunauliza tu kuhusu ajali za moto zinazohusu hitilafu za umeme.
Kwa sababu,these are not just statistics,there are people behind this,people who are suffering every time something like this happens.
Doh noma sana. Nadhani material walizotumia hazikuwa flame retardant maana hilo eneo lina zimamoto nyingi private karibu yake, ila carpet ya kichina ikishika moto hata sekunde haichukui!
kwa uchafuunaoendelea usiku wa manane hata bima wasilipwe
Mama Hellen. Janga kama hili linatukumbusha kukatia bima biashara zetu!!!!!!
Tiba
Jamani mi nina mtazamo tofauti na wenzangu, naona kama vile matukio ya moto yanapangwa..... Mi sidhani kama kweli itilafu za umeme ndio chanzo cha matatizo hayo kusema kweli.
Naona wafanya biashara wamejanjaruka kiasi cha kwambawanataka kulipwa na bima wajenge kitu kikali zaidi kama yule jamaa wa Paradize Bagamoyo.
Napenda kumpa pole huyo mama mwenye ukumbi na hongera pia kwa kufanikisha dili yake.....................
Mimi niliwah kuandika humu JF na narudia tena japo binafsi sina nyumba yangu binafsi au ya biashara lakini nawauliza hata sisi wenyewe members hapa JF, ni nani ana fire extinguisher hata moja nyumbani kwake na familia wanajua kuitumia??
faya eksitingwisha ndo nin?
jamani pole sana mama hellen
jamani kiwanja hiki loh