FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Jamani mi nina mtazamo tofauti na wenzangu, naona kama vile matukio ya moto yanapangwa..... Mi sidhani kama kweli itilafu za umeme ndio chanzo cha matatizo hayo kusema kweli.
Naona wafanya biashara wamejanjaruka kiasi cha kwambawanataka kulipwa na bima wajenge kitu kikali zaidi kama yule jamaa wa Paradize Bagamoyo.
Napenda kumpa pole huyo mama mwenye ukumbi na hongera pia kwa kufanikisha dili yake.....................
Kifaa au niite mtungi wenye gesi ya kuzimia moto.
Mimi niliwah kuandika humu JF na narudia tena japo binafsi sina nyumba yangu binafsi au ya biashara lakini nawauliza hata sisi wenyewe members hapa JF, ni nani ana fire extinguisher hata moja nyumbani kwake na familia wanajua kuitumia??
mimi nasikitika sana kwasababu wakati niko chuo ndo kilikuwa kiwanja changu!😀Mi sisikitiki sana kwa kuwa kilichoungua Siyo Nyumba Ya Kumtukuza Mungu.
okay!kumbe....?!
unadhani vingesaidia kuzima moto kama huu?au wa paradaiz rizoot?
hapa bila shaka unaizungumzia HORSE-REEL,am i right?zipo fire extinguishing systems kubwa kulingana na facility lakini pia kama mtu una mradi mkubwa ni lazima uwe na high pressure water pipes nearby ili kukabiliana na majanga ya moto. Lakini hili kwa TZ ni kama halina umuhimu ila pale yanapotokea ndo utasikia kelele zinaanza.
mie binafsi sina hiyo FE kuitumia najua
hapa bila shaka unaizungumzia HORSE-REEL,am i right?
hivi wewe unadhani faya eksitinguisha haikuwepo maisha?Nashauri basi watanzania tujifunze tununue hivi vifaa huwa vinasaidia hasa pale moto unapoanza watu wakiwepo. Na ni vizuri kama mtu una watoto au mtumishi wa ndani ukawafundisha jinsi ya kuitumia.
mimi nasikitika sana kwasababu wakati niko chuo ndo kilikuwa kiwanja changu!😀
Ndiyo mkuu
Ajali kama hii ikitokea,watu wote wanasikitika. Lakini swali moja hapa la kuuliza,ni kwamba, kuhusu hizi ajali za moto,how do we compare,for example ,wtih Kenya? Ajali za moto hapa zinatokea vipi ukilinganisha na Kenya au na nchi zingine?
QUOTE]
My friend dont even go there.... juzi supermarket ya nakumatt iliteketea mpaka majivu and its less than 100 m from the fire station. haya wiki iliyopita moto umetokea two different areas.... ndipo tukajua kuwa all the fire engines are grounded. everyone for themselves and God for us all.
we are very ill prepared for any form of disaster..uombe mungu tu yasikufike!
ALELUYA!Pole sana mpwa. Nakukatibisha katika Nyumba Za Bwana tumwimbie na kumsifu Mungu kwa nyimbo na mapambio.
hivi wewe unadhani faya eksitinguisha haikuwepo maisha?
Amen,thats my mchumba.Ur a good pastorPole sana mpwa. Nakukatibisha katika Nyumba Za Bwana tumwimbie na kumsifu Mungu kwa nyimbo na mapambio.
Amen,thats my mchumba.Ur a good pastor
Mi sisikitiki sana kwa kuwa kilichoungua Siyo Nyumba Ya Kumtukuza Mungu.
Chrispin mbona una mtizamo finyu sana??? Vipi kuhusu
1. Watu waopotoze ajira zao (au kwa vile dada yako afanyi kazi hapo?)
2. Vipato vya madereva tax na vibajaji
3. lost government revenues in terms of tax
4. wategemezi wa dada yetu Hellen
5. Kamtaji ka dada yetu (assuming MC was not insured)
6. Uchafuzi wa mazingira
7. Sadaka walizokuwa wanatoa wafanyakazi wa MC kila waendapo makanisani na misikitini
8. Ajira ya maDj na wanamuziki waliokuwa wanatumbuiza hapo
8. Burudani waliyokuwa wanapata watu mbalimbali, ambayo pengine ilikuwa inawafanya wapumzishe akili na miili yao na hivyo kuongeza tija mahala pao pa kazi
9. n.k. n.k.