sawa mkuuRapper kutoka majuu anaekwenda kwa jina la rick ross ambae naamini watu wengi wamemjua baada ya kushirikishwa kwenye ngoma ya Diamond "waka Waka" anathibitisha ule msemo wa hip hop hailipi bongo tu ila huko kwa wenzetu ukiwa mwana hip hop basi kua tajiri ni kitu cha kawaida sana,
Rick ross mwenye miaka takriban 41 sasa ni moja kati ya rappers wenye mpunga mrefu tu kuliko hata boss wako, kwa ripoti za mwaka huu rick ross ana utajiri upatao $42 Millioni sawa na kama Billion 90+ kama sikosei,
Pia rick ross kama ilivyo kwa alikiba , bado hajaoa lakini ana watoto wa 3 mpaka sasa,
Napenda wasanii wa hip hop bongo wakaze tu naamini na sisi sikumoja tutaona wana hip hop wetu wakiendesha ma ferarri na marcedes ya pesa chafu kupitia huo huo mziki wa hip hop,
Ni hayo tu kwa leo
"Waka Waka"
Point of correction or addition not all tumemjua kupitia waka waka no tang miaka kumi nyuma wengine tunamfaham na kumsklizaRapper kutoka majuu anaekwenda kwa jina la rick ross ambae naamini watu wengi wamemjua baada ya kushirikishwa kwenye ngoma ya Diamond "waka Waka" anathibitisha ule msemo wa hip hop hailipi bongo tu ila huko kwa wenzetu ukiwa mwana hip hop basi kua tajiri ni kitu cha kawaida sana,
Rick ross mwenye miaka takriban 41 sasa ni moja kati ya rappers wenye mpunga mrefu tu kuliko hata boss wako, kwa ripoti za mwaka huu rick ross ana utajiri upatao $42 Millioni sawa na kama Billion 90+ kama sikosei,
Pia rick ross kama ilivyo kwa alikiba , bado hajaoa lakini ana watoto wa 3 mpaka sasa,
Napenda wasanii wa hip hop bongo wakaze tu naamini na sisi sikumoja tutaona wana hip hop wetu wakiendesha ma ferarri na marcedes ya pesa chafu kupitia huo huo mziki wa hip hop,
Ni hayo tu kwa leo
"Waka Waka"
Ngoma iliyomtambulisha sana ni ile aliyofanya na psquare sio hii ya waka wakasikatai afrika wanamjua, nimezungumzia kwa watanzania wengi ambao sio wafuatiliaji wa hip hop wengi wamenza kumjua baada ya hii ngoma na diamond
KING kiba hiyo ndo sifa yake??????nimejikuta nakumbuka ile nyimbo sifa za kijingaPia rick ross kama ilivyo kwa alikiba , bado hajaoa lakini ana watoto wa 3 mpaka sasa,
Napenda wasanii wa hip hop bongo wakaze tu naamini na sisi sikumoja tutaona wana hip hop wetu wakiendesha ma ferarri na marcedes ya pesa chafu kupitia huo huo mziki wa hip hop,
Ni hayo tu kwa leo
"Waka Waka"
gereza lipi ukonga au segerea mkuu??Watu tunamjua tangu alivokuwa askari magereza kabla hajaingia kwenye muziki
kwa afrika especial west ni hyo na p square vp kuhusu bongo wabongo wengi wamemjua kwa ngoma gani?Ngoma iliyomtambulisha sana ni ile aliyofanya na psquare sio hii ya waka waka
sikatai afrika wanamjua, nimezungumzia kwa watanzania wengi ambao sio wafuatiliaji wa hip hop wengi wamenza kumjua baada ya hii ngoma na diamond
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imebidi tu nichekeWatu tunamjua tangu alivokuwa askari magereza kabla hajaingia kwenye muziki
kwa afrika especial west ni hyo na p square vp kuhusu bongo wabongo wengi wamemjua kwa ngoma gani?
Ngoma aliyofanya na diamond haijawa kubwa kihivyo tofauti na beautiful onyinye ya psquarekwa afrika especial west ni hyo na p square vp kuhusu bongo wabongo wengi wamemjua kwa ngoma gani?
Wewe ni mbishiii karibia wote hapa wamekugomea, haya wabongo wengi wa wapi? Watanzania wasimjue wakati alishakuja bongo akaperfom Fiesta 2012.kwa afrika especial west ni hyo na p square vp kuhusu bongo wabongo wengi wamemjua kwa ngoma gani?
Siyo kwel mkuu,Rick anafahamika zaidi ya unavyodhani.sikatai afrika wanamjua, nimezungumzia kwa watanzania wengi ambao sio wafuatiliaji wa hip hop wengi wamenza kumjua baada ya hii ngoma na diamond
Seriously????do u know the song called am not a star??sasa watz wamemjua huyu jamaa kitambooooooo sana pole mkuu kwa kuchelewa kumjuaRapper kutoka majuu anaekwenda kwa jina la rick ross ambae naamini watu wengi wamemjua baada ya kushirikishwa kwenye ngoma ya Diamond "waka Waka" anathibitisha ule msemo wa hip hop hailipi bongo tu ila huko kwa wenzetu ukiwa mwana hip hop basi kua tajiri ni kitu cha kawaida sana,