Kitumba_
Member
- Aug 21, 2018
- 30
- 21
Naam, tuanze kwa kupeana shule kidogo. Kuna aina mbili za maisha. Maisha ya hadithi na maisha halisi. Maisha ya hadithi ndio yale uliyoambiwa na wale kipindi uko chuo wanapokuelezea jinsi kilimo cha matikiti kinavyolipa.
Wanakwambia, ukiwa na milioni moja tu unalima ekari ya matikiti, ukivuna na kuuza unapata milioni 26 kwa hiyo ukitoa milioni yako ya mtaji, faida ni milioni 25 kwa ekari.
Wanakwambia, shamba unapata la kukodi kwa laki moja tu ukienda kutafuta Kibaha au Bagamoyo. Kisha mbegu za kutosha kupanda ekari nzima unanunua kwa bei nafuu Kariakoo hata elfu 20 haifiki.
Wanaongeza kwamba ukiajiri kibarua mmoja anakusafishia shamba lote na kukupandia kabisa kwa 3000 tu kwa siku, fedha inayobaki unakodi mashine ya kumwagilia, dawa ya kuulia wadudu, pesa ya mtu wa kukuangalizia shamba wewe ukiwa 'mjini Daslam' na kibarua wa kukusaidia kuvuna.
Ukiwasikiliza halafu ukalogwa ukaingia huko, ndiyo sasa unakuwa umekwenda kwenye maisha halisi. Kwenye maisha halisi sasa utafuata maelekezo yake halafu baada ya miezi sita ukisimama mbele ya shamba ulilokodi kwa laki, unagundua HAKUNA hata senti 10 yako inayoweza kurudi.
Baada ya kukueleza mfano wa Maisha ya Hadithi naomba nikupe FACTS chache kuhusu Maisha ya Hadithi. Na ikiwezekana puuza na epuka watu wote wanaoishi katika namna hizo.
1. Maisha ya hadithi yapo kwenye watu wanaopenda kujionesha jinsi walivyo wacha Mungu. Wacha Mungu wa kweli hawapotezi muda kuionesha dunia jinsi walivyo wacha Mungu, bali hutumia muda wao mwingi kumcha Mungu wao kwa matendo.
Nabii Elia alikua mcha Mungu sana na alinyakuliwa kwenda mbinguni bila kuonja mauti, lakini hakuwahi kujitapa kuwa mcha Mungu, bali matendo yake yalimfanya ajulikane kuwa ni mcha Mungu.
2. Maisha ya hadithi pia yapo kwenye baadhi ya watu wanaopenda kuonekana wana hekima kwa watu. Mwanafalsafa Daniel Dennett aliwahi kusema sifa ya kwanza ya kumjua mtu hana hekima ni mtu huyo kujisifia kuwa na hekima.
Baba wa Falsafa duniani, Socrates ambaye inaaminika alikuwa na hekima sana, alipoulizwa alikataa. Mfalme Suleimani ambaye inaaminika ndiye kiumbe mwenye hekima zaidi kuwahi kutokea duniani, hakuwahi hata mara moja kujisifu kuwa na hekima.
Kwenye Quran tunaambiwa kwamba hata pale malkia walipomtembelea na kumsifu kuwa na hekima, Mfalme Sulemani alikataa, na kusema kuwa haamini.
3. Maisha ya hadithi pia yapo kwa watu wengi hapa mjini wanaojimwambafy na vigali vya familia. Utakuta mtu anawekewa mafuta ya elfu kumi anakwenda kariakoo na kurudi anapiga misele miwili mitatu ilhali mfukoni hana hata shilingi ya kwake.
4. Maisha ya hadithi pia yamo miongoni mwetu wengi tunaopenda kujisifu kuwa na akili nyingi. Wenye akili huwa hawajisifu bali huonesha uwezo wa akili zao kwa vitendo, halafu husifiwa na watu wengine. Mwanasayansi/Mwanafalsafa nguli Albert Einstein aliwahi kuulizwa kama yeye ni 'genius' akakataa zaidi ya unavyoweza kufikiria. Lakini Donald Trump mwaka juzi alitamka kuwa yeye ni extra genius. Sasa hapo naomba nikuulize kati ya hawa wawili Genius ni nani?
Lengo langu nikuja kukupa vitu vya kuzingatia KATIKA kuyakabili maisha halisi.
Kiujumla zingatia vitu vikubwa vitatu (3); Mosi. Focus
Pili. Focus
Tatu. Focus
Focus, Focus, Focus. Hivi ndivyo vitu pekee vya kuweka akilini katika maisha halisi.
Ukiwa na focus utajua wewe ni nani
Ukiwa na focus utajua unafanya nini.
Ukiwa na focus utajua unafanya kwa ajili ya nani.
Ukiwa na focus utajua unayemlenga kumfanyia anataka nini.
Ukiwa na focus utajua unayemlenga kumfanyia anapata nini kama matokeo.
Halafu watu wakikuuliza umemaliza chuo halafu unafanya kazi gani huko mjini. Wajibu hiyo ya mwisho watu unaowalenga wanapata nini kama matokeo?. Kwa mfano Mimi nitajibu nawasaidia vijana wenzangu kuwa na michakato yenye tija. .
KUTOKA MAISHA YA HADITHI KUJA MAISHA HALISI..
Kutoka katika Maisha ya Hadithi kuja Maisha Halisi inakupasa kujiuliza maswali Matano yenyekuhusisha FOCUS, Maswali hayo tunaweza kuziita Fikra Bunifu!. __
Fikra bunifu huanza na ndoto…
Ndoto huotwa unapofumba macho. Uhalisia unakuja pale utakapoyafumbua macho. Na uta- PLAN na kufanyia kazi yale uliyoyaota.
NDOTO KUJA KWENYE UHALISIA
Mara nyingi tukiwa tunatizamia kufanya kitu fulani ama jambo fulani, huwa tukijikuta tunakwama kwenye situations ambazo ama pengine tunafikiri hatuko vizuri bado, nimekwama sina mtaji, pengine kuna mtu anakuchezea unafikia kusema au sijakaa vizuri bado…
Tatizo ya kuufikia uhalisia ni WEWE MWENYEWE…
Kwa experience yangu mpaka muda huu, nitoe framework ya kutoka Ndoto kuja kwenye uhalisia…
NDOTO
MALENGO
MPANGO
UHALISIA
NDOTO yako ukiiandika chini, ndio yanakua MALENGO. Unaweza kutumia dakika 1 tu kuyaandika malengo yako. Tangu unaijua ndoto yako.
Ndoto yangu mimi ni kuwa na institution itakayoongea na vijana katika kuzikamata fursa zilizo mbele yao na kuzikomboa familia zetu masikini. Hiyo ni ndoto yangu, na kwa kua nishaiandika kama hivo ishakua mlengo wangu.
Malengo yangu niweze kuwafikia zaidi ya 80% ya vijana wa Tanzania, kuongea nao juu ya fikra bunifu kwa mwaka 2020. //wewe vipi umiweza kuiandika ndoto yako?!”. .
.
MALENGO KUJA KWENYE MPANGO
Binafsi huwa naandaa mada ya kuja kuizungumzia. Na kila mada nimeyoizungumzia nilikua nimepanga kuzungumzia muda mrefu nyuma huko hata pengine kabla sijaanza kutumia media kama hivi. Nilikua nikipata idea ya kwamba nije kuzungumzia nini halafu nakiandika hiko kitu,
Tatizo ni. Mara nyingi tuna overestimate kumbukumbu zetu kwa kiasi kikubwa.. kwa kufikiria ya kwamba hayo mawazo ambayo unayafikiria sasa utayakumbuka baadae
Na tatizo la motivations tunazozipitia zinatuanzishia tu safari, hazitufanyi tuimalize safari hiyo, DISCIPLINE, umakini ndio pekee vinakuongoza katika safari mzima.
Sasa ukiwa na malengo tayari umiyaandika, unakua umiianza tu safari, hivyo inakuhitaji discipline katika kuiongoza safari mzima. Hiyo discipline ya kufuatwa sasa ndio MPANGO wenyewe.
Kuandika plan haichukui dakika 1 sijui. Itakuhitaji siku 2, 3 au zaidi.
Sasa hapa tafuta kitu gani ambacho kinaweza kukukwamisha kwenye malengo yako. Ukiwa unaandaa mpango mzima wa safari yako unakwama wapi??
.
.
Hauna mtaalamu wa mambo hayo uyatizamiayo
Hauna mentor
Hauna fedha/mtaji
Umiikosa partnership/ kampanii
Kitu gani unakihitaji katika malengo yako na wewe huna. Hiyo basi ndio inakua plan yako.
MPANGO KWENDA KWENYE UHALISIA
Kuna ile asubuhi unatakiwa kuamka halafu kuna kama upepo unapiga kwa mbali lakini unakufikia. Unatakiwa kuamka kufanya kitu fulani. Wakati huo huo Ubongo unakufanyia trick.
Unakwambia amka jiandae, Halafu hapo hapo unakwambia lala tena kidogo kama dakika kumi.
Hili chaguo la kulala tena japo dk 10 linakupa unafuu zaidi ukilinnganisha na la kwanza. Unazo sekunde 5 tu za kuamua kati ya hayo mawili. Zikipita sekunde 5 hujaamua kuamka na kujiandaa, automatically utajikuta tu umiendelea kulala.
Tukiwa tunayo plan tayari, kinachokwamisha kuja kwenye uhalisia ni Matendo yako binafsii. UZEMBE. Unapoongeza hizo dk 10 au siku mbele katika plan yako hapo ndipo ugumu nao unaongezeka katika kuyafikia uyatizamiayo.
Kuna utafiti usio rasmi uliofanywa, ukatoa statement ambayo pengine siipendi zaidi
WATU WENGI WANAKUFA WAKIWA NA UMRI WA MIAKA 25. LAKINI HAWAZIKWI MPAKA WAKIWA NA MIAKA 75.
Maana yake nini, ukifikia miaka 75 unazika kila kitu ulichokitizamia kukifanya, ndoto, passions, aspirations, na kila kitu ulicho nacho
Kwanini?! Kwasababu,
Hudhani tena kama utaweza kuyatimiza yale,
Unafanya kazi ambayo wewe mwenyewe moyoni huipendi,
Unafanya kazi ambayo haikuongezei ujuzi wowote,
Unapambana tu ili upate chochote,
Katika umri ule wa miaka 25, ambapo vijana wengine tumegraduate, na hapo ndipo TUNAKUFA kabisa.
Pengine andiko hili likushitue huko uliko. Usingoje kufa ukiwa na miaka 25, na kamwe usingoje mpaka mchizi ghetoni jirani ayatambue maisha yako mbeleni yatakuwaje.
Naomba kuwasilisha.
.
#balenz
#bsot
#TungoZaKitumba
#MwandishiKitumba
#Kitumba
#SDGactivist
NIPIGIE KURA YAKO

Upvote
1