Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini



UPUUZI MTUPU !!!!
Umepigiwa stori maskani, na umakariri vizuri kweli
juggernaut bollocks%$£&*!
 
Upo sahihi kabisa. Hata majirani (+254) umachinoo wao ni wakiwa kwao, nje ya kwao wanajua kushikana aisee. Kuna bwana mmoja (hata sina haja ya kumtaja, ni MTz, anafundisha chuo kimoja kikubwa sana UK), tulionana kwenye "conference". Alikuwa na mkewe (mwanafunzi wa chuo) ambaye ni kutoka +254. "Conference" zima tulikuwa waTZ wawili tu, mimi na huyo jamaa. Wakati wa "gala dinner" nikiwa na kimuhemuhe cha hata kuongea naye (baada ya presentation yake ya mchana) nikajipendekeza kwake, lol yule jamaa hapana!! Anyway, kilichonisaidia ni kuwa tu na marafiki kutoka +254 ambao walitengeneza urafiki na mkewe (walikuwa wananishirikisha kwenye issues za jamaa wanazolengeshwa na mke). Sidhani hata kama jamaa alikuwa anafahamu kuwa "lile" liMTz alilokutana nalo kwenye "conference" nalo lilikuwa likifanya kazi zake.
 
you are right
 
hatari
 
Naelekea huko university of Pretoria na nimepata mdhamini ila nahofu ubaguzi wa rangi
Ulifanikiwa kwenda?! Nipe mrejesho vipi experience ilikuwaje maana na mimi mwaka ujao natarajia kwenda huko chuo
 
Ile shughuli yako ya Forex iliishia wapi
 
dah noma, vipi nasikia Zimb ndiyo mizinguo zaidi kwa uhalifu wa kutumia nguvu na silaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…