Uliyoandika Yote Ni Kweli. Niliishi Sauzi Miaka 3 na nilijionea hayo - tena kuna mazito zaidi ya hayo. Ila Kuna Kitu Hukuandika - Wengi Wakirudi Bongo Likizo Huwa Wanapewa Mzigo (Wajanja Mtanielewa) - Wanaambiwa Kusafiri Mkavu (Ndio Hutumia Lugha Hiyo - Yaani Kusafiri Bila Kubeba) ni hasara..... Na pia kwenye magereza wapo wengi sana, zaidi ya mia 5