Maisha halisi yangelikua kama alivoishi yesu kwene kitabu hakika tungeliifaidi dunia

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
habarini wakuu poleni na uchovu,hakika leo ni wikiendi so we have to refresh our minds

leo nimekaa nikawaza ingekuaje kama maisha halisi yangelikua kama alivoishi yesu kwene hadithi nikagundua kua tungefurahia sana kwa sababu zifuatazo

moja: kusingekua na njaa kwa sababu tungekua na uwezo wa kubadilsha mawe kua mikate na ukienda mtoni huwezi kukosa samaki utaokota ata vichura tuuh

mbili: tusinge kua na haja ya kuabudu miungu mingine maana mungu wetu angekua anajibu maombi fasta sana kama mungu aliekua anamuomba yesu

tatu:tusingekua tunazika watu waliolala kwa kudhani kama wamekufa kama yesu alivo fanya kwa yule mtoto

NB imani yako itakuponya
 
Hata leo inawezekana...niwewe tu na Imani yako.
 
Hakuna mtu aliyezaliwa na kuishi aitwaye Yesu. Ni uongo tuuu.
 
Back
Top Bottom