maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
habarini wakuu poleni na uchovu,hakika leo ni wikiendi so we have to refresh our minds
leo nimekaa nikawaza ingekuaje kama maisha halisi yangelikua kama alivoishi yesu kwene hadithi nikagundua kua tungefurahia sana kwa sababu zifuatazo
moja: kusingekua na njaa kwa sababu tungekua na uwezo wa kubadilsha mawe kua mikate na ukienda mtoni huwezi kukosa samaki utaokota ata vichura tuuh
mbili: tusinge kua na haja ya kuabudu miungu mingine maana mungu wetu angekua anajibu maombi fasta sana kama mungu aliekua anamuomba yesu
tatu:tusingekua tunazika watu waliolala kwa kudhani kama wamekufa kama yesu alivo fanya kwa yule mtoto
NB imani yako itakuponya