maisha halisi

kama walivyo wanawake...unakuta mtu kakutingia Gucci (feki), kabeba Coach bag (feki), Fendi clutch (feki).....yote hii katika kuonyesha yu matawi ya juu na anazijua lebo za bei mbaya....kumbe hamna lolote

Am just thinking out loud, kama label anazijua ila hana uwezo nazo inakuwaje? Kuna tatizo akijibabua na hizo feki? Mimi nilifikiri tatizo ni pale anapoenda mpaka mtaa wa tatu kwa Amina amuazime label ya ukweli ili akawakoge ofisini? Au?
 
Am just thinking out loud, kama label anazijua ila hana uwezo nazo inakuwaje? Kuna tatizo akijibabua na hizo feki? Mimi nilifikiri tatizo ni pale anapoenda mpaka mtaa wa tatu kwa Amina amuazime label ya ukweli ili akawakoge ofisini? Au?

Tatizo ni zaidi ya unavyofikiri. Kuna suala la piracy hapo. Na piracy ni haramu. Si sahihi hata kidogo kwa wewe kama ni mchuuzi kunufaishwa na mteja anayenunua bidhaa zako zilizo feki kwa kutumia jina la wengine. Yaani uibe jina la watu, halafu uuze bidhaa zako kwa kuzinadi kuwa ndiyo "the real mccoy" bila hata ridhaa ya mwenye jina? Usiniambie unaona ni sawa kufanya hivyo!!

Kama uwezo hana, hakuna haja ya kunufaisha maharamia kwa kununua bidhaa zao feki. Kila siku kwenye nchi za watu kuliko na utawala wa sheria wachuuzi na wazalishaji wa kanyaboya wanakamatwa.
 
DO you know the reason(s) as to why wanakuwa hivyo............Hujawahi kuona watu wanaokoka ili kumpata demu.............??? Kifupi wanawake wanapelekea wanaume kuwa hivyo na wanaume nao wanapelekea wanawake kuwa hivyo........................... Tatizo ni kuwa tunatolea sana macho anayetenda na tunamwacha aliyesababisha
 


Akili za kitoto ndizo zinazowasumbua, wakikua wataacha.
 

"I am in competition with no one but myself...."BILL GATES!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…