Maisha haya acheni tu unaweza kukufuru

Njoo inbox nikupe jambo la kufanya nauhakika utatoka
 
Kwanza, nikupe pongezi kwa kuwa na standards ambazo umejiwekea na unaishi kwa kuziheshimu hizo. Pili, nkuhakikishie kuwa mafanikio ni tafsiri pana ambayo unaweza kuielewa kwa ukweli wake kama utaitafsiri kwa kujitizama wewe wa sasa na wewe wa siku za nyuma na sio wewe ulivyo na wengine walivyo kwa hatua au vitu wanavyomiliki na wewe huna. Tatu, Hatua ya kwanza kufanikiwa ujue unataka nini katika maisha au unataka ufikie wapi ndani ya muda gani, kisha tambua kuwa unapaswa ujikane mwenyewe na kuamua kuachana na mambo fulani fulani, watu wa aina fulani na kuondoka pahali fulani ulipokulia n.k ili uweze kuona maisha katika mtazamo mwingine na uonavyo sasa. Hivyo, nkutakie safari njema ya kujitafuta na mtegemee Mungu utafanikiwa. Kila la Kheri Maria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…