I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,773
- 3,215
Pole sana, ukiona changamoto zinazidi jua uko mbioni kufanikiwa... By the way, we ni mwanaJF wa kwanza kuweka dp yako halisi na kutumia Real Identity.Habari za jioni
Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu.
Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii.
Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama wanaendelea vizuri na mambo yao.
Na Mimi kila siku najiuliza nawezaje kufanikiwa na Elimu yangu ya kuunga unga ?
Kudanga siwezi,
Kutapeli ni mwiko kwangu,
Pamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri.
Maria D.
Mkuu heshima inatakiwa basi! Kumbuka huyo ni shemeji yako.Ushampa tunda na mtaro Kijana Masikini
Yaah hatuna kitu hatuna roho mbaya tunaishi vizuri.Ko una sema huna tofauti na mchumba wako Kijana Masikini š¤š¦ .
Ndio ule msemo wapendanao, mme anza kufanana ehh
Habari za jioni
Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu.
Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii.
Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama wanaendelea vizuri na mambo yao.
Na Mimi kila siku najiuliza nawezaje kufanikiwa na Elimu yangu ya kuunga unga ?
Kudanga siwezi,
Kutapeli ni mwiko kwangu,
Pamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri.
Maria D.
una tako kubwa?Habari za jioni

Tako la kazi gani tenaauna tako kubwa?
Thread closed.Utafute ufalme wa Mungu kwanza na haki yake na mengine yote utazidishiwa...
Basi pambana na hali yako.Hapana
SawaNi mtazamo tu unakupa presha angalia ulipotoka na sasa
Soon baby wako wana mkwapuaYaah hatuna kitu hatuna roho mbaya tunaishi vizuri.
Sijui umepotelea wapi we dogo?utafanikiwa tu we pambana kikubwa sasampa haijalishi utaipataješ
Ndio nini huko dasalama?sasampa
yeah sure watu wanafake maishaJf bana,unakuta mdada ana points tu za maisha na ukaona huyu ni mwenzangu nijenge maisha naye.But unakuja kukutana na kitu kizito balaa.Tunawaomba jamani muishi katika haya mnayoandija.
Diana kwa andiko hili hakika umekua,umekomaa,wewe ni mke.Unapaswa upate muungwana mpambane pamoja mjenge maisha yenu kwa kubarikiwa.Na uwe hivi kweli.
Hujajibu swaliPole