Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,322
- 6,998
Maisha huwa yana namna ya kumjaribu mtu , ukiona unakaribia kukata tamaa jua neema inakaribiaHabari za jioni
Maisha mnayaonaje ndugu zangu,dada zangu,Kaka zangu.
Kila nilichopanga kufanya mwaka huu naona kabisa hakitimii.
Dada yangu mmoja hapa mtaani anasema nisijipe presha bado mdogo,nitafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu, lakini Mimi mwenyewe nina marafiki kibao,naona kama wanaendelea vizuri na mambo yao.
Na Mimi kila siku najiuliza nawezaje kufanikiwa na Elimu yangu ya kuunga unga ?
Kudanga siwezi,
Kutapeli ni mwiko kwangu,
Pamoja na hivi nilivoo naenjoy Kula pesa ya jasho halali iliyo na Baraka za Mungu. Je nitafanikiwa vipi.
Nawaombeni ushauri.
Maria D.
ndo helaNdio nini huko dasalama?
nipo mkuu, mambo tu yamerundikana alafu muda hautoshiSijui umepotelea wapi we dogo?
Mmeibadili jina huko mjini?ndo hela
Na nani?Soon baby wako wana mkwapua
Usi ulize, we jiandae kupigia mstariNa nani?
Sawa nitamwona huyo mwenye ubavu.Usi ulize, we jiandae kupigia mstari
tunaipamba tuMmeibadili jina huko mjini?
Ndio mtajiTako la kazi gani tenaa
Ata mkiipamba ugumu wa kuipata n ule uletunaipamba tu
we ndo unaipata kiugumu ndugu yangu😀😀😀Ata mkiipamba ugumu wa kuipata n ule ule
Nipe michongo basi tajiriwe ndo unaipata kiugumu ndugu yangu😀😀😀
Tatizo lako unajilinganishaHabari za jioni