Maisha haya dah

Angalau penye umuhimu zaidi kwa wakati uliopo ndio utume kwanza, huko kwingine pia utume ukipata ila usiache kutuma.
 
Tuma kwa wote, kwani huna hela mwanaume?!
 
Huwa inatokea.. Unakuta watu watano wote wanaomba hela kwa pamoja, yan kama wanaambizana
 
Watumie wote ila kwa hao madem wawili nenda rudisha muamala uliotumwa kimakosa then chinja. Banda ya hapo zima simu
 
Kale K-vant na kitimoto nusu rosti ulale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…