Maisha haya, nyie acheni tu!

Kwahiyo umetoa mwenyewe bila kulazimishwa then ikakuuma😁😁, Any way umefanya jambo la Utu sana mkuu ila kuhusu maboresho ya kubadili akili ya pisi kali ni ngumu, "Hawapikei ushauri"
 
Wanafanya hivyo Kwa sababu wanaelewa malofa kama wewe mpo mtagharamia tuu.
 
Weye ndugu, mbona simulizi yako ilipaswa kuwa fupi isiyozidi mistari minne? (Nakaa Sinza. Kuna dada anaitwa Anjela ametoa mimba. Enyi wanawake,msitoe mimba ni hatari sana. Mnaweza mkakufilia ma-mbali mbali huko) Basi, ungekuwa umemaliza kutuhadithia.

angeulizwa kwa ukali anawahi wapi[emoji28]atulie alete habari iliyokamilika
 
Maisha yake magumu ndiyo maana kafanya alichofanya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…