Maisha haya

Maisha haya

*Sasa Hivi Hata Yale Magari Ya Kuvuta Mavi Wanalia Njaa, Wanasema Biashara Ngumu.*
*Na Ukiangalia Ni Kweli Kwa Sababu Mtu Anakula Chips Kavu Na Soda; Ni Lini Choo Kitajaa?*

#.
Hahahahahaha!
 
Hahahaaa, aisee ni kweli kabisa! Mtu unakunywa chai ya rangi na chapati moja utaenda chooni kweli?!
 
Halafu wanawaje tusivyonahuruma tunawaita vibamia ohh mara bao moja tu ,,sasa chips kavu kweli mchana kapiga dash nguv zitoke wapi
 
Back
Top Bottom