Naloli.Mbombo ngafu ifyuma fibete
naogopa kupimwa kamasi wakati sina hata mafuaNimetoka Kapa Hapa
Napita Kimya Kimya
watu wanatunza mazingira, maiti zinazikwa uchi Bila sanda Wala jenezaHata sisi wauza majeneza biashara imekuwa ngumu sana kwa miaka hii miwili yaani haitoki kabsa
Hahahahahaha!*Sasa Hivi Hata Yale Magari Ya Kuvuta Mavi Wanalia Njaa, Wanasema Biashara Ngumu.*
*Na Ukiangalia Ni Kweli Kwa Sababu Mtu Anakula Chips Kavu Na Soda; Ni Lini Choo Kitajaa?*
#.
Wacha kabisa Mkuu. Ila hivyo hivyo tutafika tu.sio mchezo hii
Mkuu vyuma vimekaza*Sasa Hivi Hata Yale Magari Ya Kuvuta Mavi Wanalia Njaa, Wanasema Biashara Ngumu.*
*Na Ukiangalia Ni Kweli Kwa Sababu Mtu Anakula Chips Kavu Na Soda; Ni Lini Choo Kitajaa?*