Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Unajua featuring ya sam mangwan na Franco ..... Muongo naa mulozi ni watu wa kuchomaNi nzuri sana. Hebu nitupie nyingine hapo nipate kuburudika.
Oya hapo nitumie Aminata, naikubali munoo!Unajua featuring ya sam mangwan na Franco ..... Muongo naa mulozi ni watu wa kuchoma
Vipi Aminata ya simaro lutumba
Napo vipi kuhusu Tshala Muana.....
Hana audio mpk sjui nn Spotify sjui nn check YouTubeOya hapo nitumie Aminata, naikubali munoo!
Huna Vidmate?Hana audio mpk sjui nn Spotify sjui nn check YouTube
Ngoja nitaitafuta.Vipi kuhusu Yesu kristu by Kanda bongo hujanitumia bado ntakupiga kipapai dogo secretarybird
sina bruh nielkze ipoje hiyoHuna Vidmate?
Pakua hiyo app, ni nzuri sana kutafuta ngoma ambazo kule kweingine hazipatikani kirahisi.sina bruh nielkze ipoje hiyo
Itakuwa huzuni kwa ndugu na masela 😫💔Pakua hiyo app, ni nzuri sana kutafuta ngoma ambazo kule kweingine hazipatikani kirahisi.