Maisha hayana formula

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo, Cami, Raum, Rav 4 na IST. 😂
Hizi chuma zinasukumwa na “WAHUNI” tu wanaojua kumani-PULATE mfumo!! ✍🏾
#SOS
 
Wale wale, akili ndogo, "kwa vile Mond aliishia LA Saba, na, ana Mali, hata watoto wangu wasiposoma, wanaweza kuwa matajiri"
MTU yoyote anaweza kumiriki hizo gari, sio jambo LA ajabu, formula yako ya maisha, IPO applicable bongo tu, ambapo fulsa za wasomi kutumia ujuzi, wao kutengeneza ukwasi, ni haba,
Dangote, Bill gates, Mark Zuckerberg, Dr Mengi, Ali mfuruki, Waga technology, mollel electric, hawa wote ni wasomi sana, na, wana ukwasi, mkubwa,
 
Hao wote uliiwataja hapo sio jon kisomo wao walisoma kuelewa sio kukariri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…