Maisha hayana huruma, ukiwa unayahurumia

Maisha hayana huruma, ukiwa unayahurumia

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Jioni hii ya tarehe 21th march, nimekaa nikatafakari ya kuwa maisha yana siri kubwa sana , jinsi unavyo yaishi na wewe yanakuishi hivyo hivyo.


So live according to the situation....ukipata fursa ikamatie mpaka ikamatike.

Ndiyo maana hata watu wakipata sehemu za kupiga hela wanapiga vilivyo mpaka wanajistukia.

Likewise kwa sisi jobless graduate ukipata fursa ya hela ikamatie ikamatike vilivyoo maana ikipotea uta regret kindani ndani.

Tulipokuwa tunasoma tulijua kuwa tunasoma ili kulitumikia taifa ila kwa uhalisia unalitumikia tumbo.

Asante.
 
Jioni hii ya tarehe 21th march , nimekaa nikatafakari ya kuwa maisha yana siri kubwa sana , jinsi unavyo yaishi na wewe yanakuishi hivyo hivyo ...........


so live according to the situation....ukipata fursa ikamatie mpaka ikamatike...

ndiyo maana hata watu wakipata sehemu za kupiga hela wanapiga vilivyo mpaka wanajistukia.....

likewise kwa sisi jobless graduate ukipata fursa ya hela ikamatie ikamatike vilivyoo maana ikipotea uta regret kindani ndani......

tulipokuwa tunasoma tulijua kuwa tunasoma ili kulitumikia taifa ila kwa uhalisia unalitumikia tumbo.....



asante....
Tumbo mkuu,na si vinginevyo
 
Haya maisha hayataki upanick, ukipanick ndiyo yanakunyoosha vizuri 🤣🤣
Tatizo la kupaniki ni kwamba mtu anayepaniki mara chache sana hujigundua kwamba ametoka kwenye barabara na sasa yuko kwenye njia mlishi.

Kama hilo halitoshi, ngoma sasa inakuja kwenye kujinasua katika hilo sokomoko.

Hebu fikiria mlevi anayedai eti hajalewa, wakati anaonekana wazi akiyumba kiasi cha kujibwaga chini.

Namaanisha nini? Maisha yanaweza yasitake hili wala lile, isipokuwa kufuata kanuni zake, hata hivyo hizo kanuni zinakiukwa kila wakati.

Lazima iwepo nia na mbinu madhubuti za kudumu kwenye kanuni zake na pia kurudi haraka kwenye kanuni zake inapotokea ndivyo sivyo.

Ni kana kwamba bila uzoefu wa hapa na pale, maisha huwa si maisha.

Lakini kuzama na kubaki kwenye hali hiyo ni jambo tofauti kabisa.
 
Ukiwa jobless hutakiwi kuweka avatar umevaa suti alafu una smile tafuta avatar ya mtu kashika tama uweke tunapata shida sana kujua nani ni jobless mwenzetu
A SMILE OF THE FACE HIDES REGRETS , HEART BREAK MIXER NEGATIVE SETBACKS OF LIFE MKUU



KUMBUKA HILI DONT SHOW YOUR EMOTIONS THERE IS NO MARKET FOR IT....
 
hii kitu imepitiwa na wote hata said salim bhakresa naye ameshapitia hii kitu likewise anajichukulia sheria mkononi
Nyie pigeni 🤣🤣mi nlijaribu kipindi npo uboyzn nkaona kabs taua mtu nikipiga nakua na hasira flan hv, nasahau kila kitu afu nakua na usingizi gunia saba
 
Back
Top Bottom