Mmeanza sasa kufanya kama hujawahi kuongeza 0 mbeleDuuh Kwa mawazo haya Afrika hautakaa kusonga mbele, labda kusonga ugali tu.
Tumbo mkuu,na si vinginevyoJioni hii ya tarehe 21th march , nimekaa nikatafakari ya kuwa maisha yana siri kubwa sana , jinsi unavyo yaishi na wewe yanakuishi hivyo hivyo ...........
so live according to the situation....ukipata fursa ikamatie mpaka ikamatike...
ndiyo maana hata watu wakipata sehemu za kupiga hela wanapiga vilivyo mpaka wanajistukia.....
likewise kwa sisi jobless graduate ukipata fursa ya hela ikamatie ikamatike vilivyoo maana ikipotea uta regret kindani ndani......
tulipokuwa tunasoma tulijua kuwa tunasoma ili kulitumikia taifa ila kwa uhalisia unalitumikia tumbo.....
asante....
Tatizo la kupaniki ni kwamba mtu anayepaniki mara chache sana hujigundua kwamba ametoka kwenye barabara na sasa yuko kwenye njia mlishi.Haya maisha hayataki upanick, ukipanick ndiyo yanakunyoosha vizuri π€£π€£
A SMILE OF THE FACE HIDES REGRETS , HEART BREAK MIXER NEGATIVE SETBACKS OF LIFE MKUUUkiwa jobless hutakiwi kuweka avatar umevaa suti alafu una smile tafuta avatar ya mtu kashika tama uweke tunapata shida sana kujua nani ni jobless mwenzetu
Nyie pigeni π€£π€£mi nlijaribu kipindi npo uboyzn nkaona kabs taua mtu nikipiga nakua na hasira flan hv, nasahau kila kitu afu nakua na usingizi gunia sabahii kitu imepitiwa na wote hata said salim bhakresa naye ameshapitia hii kitu likewise anajichukulia sheria mkononi
Nilishasahau kujichukulia sheria mkononihahaha sema kitaa wapo wakutupoza kiselaaa
π€£π€£π€£πββοΈπββοΈπββοΈPambana usiombe ukutane na combo ya kutokua na hela ft nyege