DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwahiyo unakufa lini?Now I'm matured
Hiki kidogo napata
Naweza kulipa bill
Kusaidia masikini
Kusaidia wazazi
Kutoa sadaka
Nimewajengea wanakijiji kisima Cha mil 3 tu
Sasa nyie mnaoroga au mnahangaika kwa ajili ya hii Dunia mnatafta Nini
Hata ukiishi miaka Mingi lazima ufe so why unaomba Maisha marefu huku unaishi katika Uchafu?
Better die Young than live a slave life.
Legacy yangu nimeacha kisima Cha maji ,ndo hicho kisima Cha mil 3 so I'm ready to die nothing else.
Mtapata maji
Mtaoga
Mtafua
Mtamwagilia Mboga Mboga zenu
Siachi mke
Wala mtoto
Legacy nimeacha mkuu Sina deni tena hapa DunianiKwahiyo unakufa lini?
Una kawehu mkuu, wahi mirembe 🤣Now I'm matured
Hiki kidogo napata
Nilifanikiwa
Kusaidia masikini
Kusaidia wazazi
Kutoa sadaka
Nimewajengea wanakijiji kisima Cha mil 3 tu
Sasa nyie mnaoroga au mnahangaika kwa ajili ya hii Dunia mnatafta Nini
Hata ukiishi miaka Mingi lazima ufe so why unaomba Maisha marefu huku unaishi katika Uchafu?
Better die Young than live a slave life.
Legacy yangu nimeacha kisima Cha maji ,ndo hicho kisima Cha mil 3 so I'm ready to die nothing else.
Mtapata maji
Mtaoga
Mtafua
Mtamwagilia Mboga Mboga zenu
Siachi mke
Wala mtoto
I love seeing someone take full control of their lives, wengine wanaishi kwenye auto pilot modeNow I'm matured
Hiki kidogo napata
Nilifanikiwa
Kusaidia masikini
Kusaidia wazazi
Kutoa sadaka
Nimewajengea wanakijiji kisima Cha mil 3 tu
Sasa nyie mnaoroga au mnahangaika kwa ajili ya hii Dunia mnatafta Nini
Hata ukiishi miaka Mingi lazima ufe so why unaomba Maisha marefu huku unaishi katika Uchafu?
Better die Young than live a slave life.
Legacy yangu nimeacha kisima Cha maji ,ndo hicho kisima Cha mil 3 so I'm ready to die nothing else.
Mtapata maji
Mtaoga
Mtafua
Mtamwagilia Mboga Mboga zenu
Siachi mke
Wala mtoto
NakaziaSiachi mke
Wala mtoto
Watoto kuacha ni muhimu otherwise hauzalishiNow I'm matured
Hiki kidogo napata
Nilifanikiwa
Kusaidia masikini
Kusaidia wazazi
Kutoa sadaka
Nimewajengea wanakijiji kisima Cha mil 3 tu
Sasa nyie mnaoroga au mnahangaika kwa ajili ya hii Dunia mnatafta Nini
Hata ukiishi miaka Mingi lazima ufe so why unaomba Maisha marefu huku unaishi katika Uchafu?
Better die Young than live a slave life.
Legacy yangu nimeacha kisima Cha maji ,ndo hicho kisima Cha mil 3 so I'm ready to die nothing else.
Mtapata maji
Mtaoga
Mtafua
Mtamwagilia Mboga Mboga zenu
Siachi mke
Wala mtoto
humu unaweza tamani maisha ya mtu wakati kiuhalisia ulitakiwa umsaidie ama umuonee hurumaSema watu JF huwa hawaelewek leo utakuta maskin analaum wazaz wake kesho utakuta n bonge la tajir hakuna mfano yaan tabu tupu
Na juzi kacomment sehemu kuwa anafundisha tmk mshahara sijui laki tano akiwa analalamikia udogo wa mshahara. Leo kajenga kisima cha mls 3.Huyu alikuwa ana lalamikia wazazi wake ktk nyuzi zake za nyuma, leo ana jipiga kifua...
kabisa mkuuhumu unaweza tamani maisha ya mtu wakati kiuhalisia ulitakiwa umsaidie ama umuonee huruma
Na juzi kacomment sehemu kuwa anafundisha tmk mshahara sijui laki tano akiwa analalamikia udogo wa mshahara. Leo kajenga kisima cha mls 3.
I love jf, you can be anybody anytime