Maisha hayatakagi ujinga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asubiri karibuni atakuwa kama nguruwe haswa maana mshahara wenyewe umejaa makato.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Halafu mwenye mshahara analalamika kama hivi, jee wale hata kazi hawana sijui wanaishi vipi??[emoji15]

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
Yaani unaweza kupata matatizo ya nguvu za kiume, maana hisia zote zina hamia kuwaza maisha tu, daahh!! Halafu watu ni wengi kila mtu anastruggle maisha mazuri!! Shit!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…