eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Mshahara ukiingia tu unaamua kula kuku. Wiki ya pili unaanza kula product za kuku (Mayai). Wiki ya tatu hela inaanza kwisha unaaza kula chakula chao(mahindi). Kimbembe wiki ya nne, umeishiwa unaanza kutembea ovyo kama kuku na kuanza kupiga mizinga. Chezea hela wewe.