Maisha hayataki ujinga bana.

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Mshahara ukiingia tu unaamua kula kuku. Wiki ya pili unaanza kula product za kuku (Mayai). Wiki ya tatu hela inaanza kwisha unaaza kula chakula chao(mahindi). Kimbembe wiki ya nne, umeishiwa unaanza kutembea ovyo kama kuku na kuanza kupiga mizinga. Chezea hela wewe.
 
 
Kwa hiyo kwa mfano waalimu wapo kwenye steji ipi kwa sasa, samahani lkn.
 
We, heshimu hao walimu, bila wao hakuna kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…