Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Una visa sana...ha ha ha hahahaha aaa!!! Ilani ya Chama gani?Kasome Ilani
Huu muda ni wa kulala wewe bado huko jamvin unaposti mada za msosi. Hivi kama nchi tunaelekea wapi? Yani sisi ni taifa la kupenda na kuendekeza kula kula tu. Why?Juzi hapa India imepiga marufuku kuuza mchele nje ya nchi yao. India ndiye muuzaji mkubwa wa mchele duniani. Nchi tatu zinazofuatia zikijulisha kiasi zinachouza...
Chama Cha MikatabaUna visa sana...ha ha ha hahahaha aaa!!! Ilani ya Chama gani?
Wewe unaweza kutunza kilo ngapi jikoni kwako?Juzi hapa India imepiga marufuku kuuza mchele nje ya nchi yao. India ndiye muuzaji mkubwa wa mchele duniani. Nchi tatu zinazofuatia zikijulisha kiasi zinachouza bado hazifikii kiwango inachouza India....
Jiko langu kubwa. Hata gunia tano za kilo mia mia zinaweza tunzika.Wewe unaweza kutunza kilo ngapi jikoni kwako?
Huoni kufanya hivyo kutapandisha bei ya chakula?jiko langu kubwa. Hata gunia tano za kilo mia mia zinaweza tunzika.
Kwa hiyo badala ya kununua chakula cha kutosha mwaka mzima unanishauri ninunue kidogokidogo kila siku ili bei isipande?Huoni kufanya hivyo kutapandisha bei ya chakula?
Ilan inashamba wapi....☹️Kasome Ilani
Utafanya hali mbaya kuwa mbaya zaidi pale tutakapoleta panic kwenye sokoKwa hiyo badala ya kununua chakula cha kutosha mwaka mzima unanishauri ninunue kidogokidogo kila siku ili bei isipande?
India inaongoza Kwa idadi ya watu Duniani Sasa ulitegemea nini? Hii ni fursa Kwa TanzaniaJuzi hapa India imepiga marufuku kuuza mchele nje ya nchi yao. India ndiye muuzaji mkubwa wa mchele duniani. Nchi tatu zinazofuatia zikijulisha kiasi zinachouza bado hazifikii kiwango inachouza India. Pia ni muuzaji mkubwa wa ngano, hii alishapiga marufuku kuuza nje siku nyingi.
Matokeo yake mchele utapanda bei kupita kiasi maana wazalishaji wakubwa nao watafuata mfano wa India. watu watakimbilia nafaka mbadala kama ngano ambazo nazo zitapanda bei balaa.
Tujitahidi kununua chakula na kutunza. Tujitahidi kuanza kuzalisha chakula nyumbani, badala ya kupanda maua tupande nyanya chungu.