gr8 masae Member Joined Nov 30, 2016 Posts 6 Reaction score 1 Dec 1, 2016 #1 *_Najaribu kufikiria tu. Januari huwa ngumu kimaisha miaka yote...sasa najaribu kuvuta picha Januari ya mwaka kesho itakuwaje!* NAJIKUTA NAIMBA ZANGU, #hatunywi_sumu_hatujinyongii[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
*_Najaribu kufikiria tu. Januari huwa ngumu kimaisha miaka yote...sasa najaribu kuvuta picha Januari ya mwaka kesho itakuwaje!* NAJIKUTA NAIMBA ZANGU, #hatunywi_sumu_hatujinyongii[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,067 Reaction score 10,393 Dec 1, 2016 #2 Dah...Hasa kwa wale wapiga dili ndiyo wataimba sana...unaanza na bajeti ya zero isiyo na mapato πππ
Dah...Hasa kwa wale wapiga dili ndiyo wataimba sana...unaanza na bajeti ya zero isiyo na mapato πππ
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,423 Dec 1, 2016 #3 Tuliipenda wenyewe.....