Maisha jijini Kigali, Rwanda yapoje?

Maisha jijini Kigali, Rwanda yapoje?

[emoji3591]Hakuna vijiwe vya kahawa,
[emoji3591]Maduka ya mangi na wapemba utayatafuta kwa tochi.
[emoji3591]Nidhamu na Usafi ni jambo la muhimu zaidi.
[emoji3591]Kagame hadhihakiwi mbele ya mnyarwanda.
[emoji3591]Lugha yenye kuongewa zaidi ni kinyarwanda na kifaransa kwa hiyo kiswahili na kiingereza ni kwa wachache mno haswa Nyamirambo.
[emoji3591]Demu mweupe ni dili zaidi huko.
[emoji3591]Pesa yao wastani wake ni ukizidisha na 2.5 ndio wapata tsh. Na bora ubadili Rusumo kuliko kigali town watakupa rate ndogo.
Kuhusu usalama ni mkubwa mnooo hakuna vishandu wala vibaka .
[emoji3591]Mengine labda uulize tukusaidie.
K
 
Kuna gesti za shot time?
 
Back
Top Bottom